Maandishi100%

Simama Pamoja Nasi Kuandaa Watumishi wa Mungu

SHEKINAH THEOLOGICAL SEMINARY (STS)

Mchango wako wa kila mwezi unaendesha chuo, unalisha wanafunzi, na unawaandaa wahubiri watakaowafikia maelfu kwa Kristo.

Ahadi ya kuanzia kila mweziTSh 1,000/=

“Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.”

— 2 Wakorintho 9:7

Kabla hujatoa, kumbuka yafuatayo

1

Tsh. 1,000 yako inaweza kusaidia kumwandaa mhubiri mmoja atakayewafikia maelfu kwa Kristo!

2

Sadaka yako ya Tsh. 1,000 leo inaweza kuwa mwanzo wa makanisa mapya kesho!

3

Huwezi kwenda kila mahali kuhubiri, lakini Tsh. 1,000 yako inaweza kusaidia kumwandaa atakayekwenda!

Njia Mbili za Kuchangia